Natafuta kazi ya hotel management

King Josse

Member
Dec 25, 2016
26
45
Habari za midaa wana jf
Mm namtaftiaa mdogo wang kazi hyo ya hotel ni mwanaume
Vitengo anavoeza fanyiaa kazi ...
Jikoni( anaweza kupika vyakula vya aina nying)
Kuhudumiaa vinywaji
Anaweza kuongea
Kiswahil
Kingereza
Kihispania. Na
Kijerumani
Kama nafasi inaweza kupatikana moshi au arusha yupo taari kwa kazi
Na ana viambatanisho vyote tangu aliposomeaa na kozi zake alizo someaa
Natumaini mtanisaidiaa ktk hilo
Akhsantenii........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom