Natafuta kazi ya graphics and visual part time

chineke

Senior Member
Jun 10, 2012
120
45
Jamani mie natafuta kazi ya graphics design na visual editing! Nina uzoefu wa kutosha na ujuzi! Nafanya animation na 3D kwa ufasaha! Mwenye kujua anitumie e-mail: martinzabron@yahoo.com
 
Jamani mie natafuta kazi ya graphics design na visual editing! Nina uzoefu wa kutosha na ujuzi! Nafanya animation na 3D kwa ufasaha! Mwenye kujua anitumie e-mail: info@trueroadtechnologies.com

Kila mtu mjini siku hizi akijua kufungua After effects au Maya na kuchezesha maandishi kidogo kesho yake anajiita animator.. Weka link ya showreel yako hapa tuone vitu ulivyofanya 2kupe dili..
 
Kaka, mie nina miaka 9 katika industry hii, so najua ninachohtaji

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kudadadek kuna mi watu m,ingine inajua kuponda tu kama haikuusu si uache kukoment, una comment tu, sasa kama kuna mtu alikuwa anamtaka sia atakata tamaa na kuponda ponda kwenu, Mwachen mwenyewe ambae anamtaka atamchukua una ulizia elm then umasidii chochote
 
Waafrica tutaendelea taratibu sana! Haina maana kumkatisha mtu tamaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom