jackson george
Senior Member
- Sep 3, 2012
- 107
- 6
Habari
Naomba msaada natafuta kazi ya geology Mimi ni Exploration Geologist,naomba mtu mwenye connection ambayo naweza pata kazi za geology au any related jobs like geo-tech au any internship opportunity ikitokea itakuwa msahada Sana.
Ahsante