ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 218
Habari zenu wanajr
Natafuta kazi yeyote inausiana na electronic repairing au mobile repairing nina experience ya miaka mitatu
Niko vizuri ktk kuripea vitu kama
Colour tv
Pasi
feni
Dvd deki
Brenda
Subwoofer
Mobile phone
System music (kiasi)
Plat tv(kiasi)
Na vinginezo ambavyo vinadeal na electronic
Elimu yangu ni form
Ni mchapakazi nipo tayari kuwa msaidizi wa fundi
Pia nafundishika pale panapoitaji elimu
Kama umeridhika na mm ni pm
Au namba yangu
0713855155
Asanteni