Natafuta kazi ya delivery

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Habari za leo wanajamvi?

Naomba niende moja kwa moja kama kichwa kinavyosema.

Natafuta kazi ya delivery kutumia pikipiki. Hata kama ni gari hakuna shida japo sio mzoefu sana. Ila kuhusu pikipiki ni mzoefu sana.

Kwa sasa nafanya kazi ya delivery KFC hapa dar ila mshahara wao hautoshi kuendesha familia yangu.

Ningependa sana kama ningepata DHL au sigara maana ndiko ambako ndoto zangu zilipo.

Mawasiliano yangu ni
0762937396
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom