Natafuta kazi ya Database, Networking, Web Technology

Natafuta kazi ya Database, Networking, Web Technology

fihavango

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Habari wanajamii, mimi ni mhitim wa staashada ya computer science natafuta kazi mojawapo kati ya hizo hapo juu, ninauzoefu wa mwaka mmoja katika ufanyaji kazi.

Sasa hivi nipo Ruaha university college(RUCO) Iringa, najitolea kufanya kazi kama system admin, kwa yeyote ambaye anataka tufanye kazi pamoja tafadhali tuwasiliane kwa namba zifatazo.

0714667500, email titusf123@gmail.com.
nahitaji mtu aliye serious na kazi na siyo ahadi zisizo na uhakika.
shukrani wanajamii
 
naamini nikijitolea naweza pata connection nying kuliko nikisema nikae tuu... nipo najitolea lakin pia natafuta kazi...
 
hakuna shida kaka,, nipo tayari kufanya kazi popote,, kikubwa ni maelewano tuu chikaka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom