nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
Wakuu habari za jioni.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nmesoma civil engineering level ya diploma na nina uzoefu wa miaka2.
Nimefanya kazi kwenye project za barabara na majengo. Mwenye connection au nafasi ya kazi anisaidie sitomwangusha.
Nimefanya kazi kwenye project za barabara na majengo. Mwenye connection au nafasi ya kazi anisaidie sitomwangusha.