Nathan_Mao-Tz
Member
- Jan 11, 2018
- 17
- 3
Hi
Sasa hujasema ni diploma, degree au ninj!!Mimi nimehitimu masomo kozi ni biomedical engineering nafuta kazi
Kama Kuna daktari yuko hapa na hiyo fursa ipo naomba unitafute
nadhani atakuwa diploma... Degree intake ya kwanza bado hawajamaliza hapa TZSasa hujasema ni diploma, degree au ninj!!
Dah ila umenikumbusha watu wa petroleum, nikutakie kila la heri kiongozi!!
Mungu akufanyie wepesi, akufungulie milango yako ya ajiraMimi nimehitimu masomo kozi ni biomedical engineering nafuta kazi
Kama Kuna daktari yuko hapa na hiyo fursa ipo naomba unitafute
Petroleum wanamatatizo gani mkuu?Sasa hujasema ni diploma, degree au ninj!!
Dah ila umenikumbusha watu wa petroleum, nikutakie kila la heri kiongozi!!
Nenda Amana Hosp walikuwa na uhitajiMimi nimehitimu masomo kozi ni biomedical engineering nafuta kazi
Kama Kuna daktari yuko hapa na hiyo fursa ipo naomba unitafute
Simaanishi kwamba haina soko ila Ogopa kozi zinazo anzishwa kwa mihemko ya kisiasa!Petroleum wanamatatizo gani mkuu?
Unaweza kufanya kazi gani?Mimi nimehitimu masomo kozi ni biomedical engineering nafuta kazi
Kama Kuna daktari yuko hapa na hiyo fursa ipo naomba unitafute
Noma sana hii petroli, kuna washkaji zangu wako China wanakata hiyo nyanga, na pia nasikia hiyo kozi kwa bachelor imeanzishwa UDSM na UDOM huku wimbo mpya wa sirikali ni Viwanda sasa na Stigla goji, Funny.Sasa hujasema ni diploma, degree au ninj!!
Dah ila umenikumbusha watu wa petroleum, nikutakie kila la heri kiongozi!!
Tetesi: - Rc MakondaMimi nimehitimu masomo kozi ni biomedical engineering nafuta kazi
Kama Kuna daktari yuko hapa na hiyo fursa ipo naomba unitafute