Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
Vijana siku hizi kujielezea ni shida sana , sema una elimu gani, una ujuzi gani, una uzoefu gani na ungependa kazi hasa za aina gani??
Na unapatikana wapi?? Ukisema kazi yoyote unatuacha kwenye mabano mjini kuna kazi nyingi

Acha uvivu unless huna uhitaji, huwezi kutafuta kazi kwa short description kiasi hiki. Andaa mda wa kutosha kuandika CV zako vizuri onyesha unajali weka taaluma yako, na vipaombele vyako vyakazi
Haya kama una urefu futi 6 na una cheti Cha kidato cha nne nenda Guarderword kuna kazi za ulinzi mshahara laki 2 na nusu , ofisi zao ziko mikocheni kwa warioba.

Hakuna kitu kama hicho. Ingekuwa kupata kazi za mshahara wa laki mbili ni simpo kiasi hicho basi sidhani kama kungekuwa na house girl wa 30000 kwa mwezi

Guarderword hawana longolongo kama ana hizo sifa nilizotaja anachukuliwa wanachukua intake mpya mara kwa mara sababu wengi pia wanaacha kazi kila siku ,wengi wanaofanya kazi hapo ni magraduates wanaficha vyeti vyao vya degree wakipata kazi zao za maana wanaacha.