Natafuta kazi wadau

Natafuta kazi wadau

Joined
May 7, 2013
Posts
23
Reaction score
7
MImi ni mwanafunz wa chuo,nachukua diploma in IT,kutokana na ugumu wa maisha nimeamua kutafuta kaz itakayonisaidia kujikwamua kimaisha,chuo naingia saa sita had saa kumi so mda unaobak nikifany kaz nipat pesa sio mbaya tusaidiane wadau,mwanzo nilipat kibarua cha kuwapelek watoto shule ila bos wangu amehama,so msaada kwa atakayeguswa,am 21 young and energetic boy,pleas check.me 0766076721,thnx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom