Natafuta kazi viwandani

Nendeni mikocheni kwa waryoba ulizieni kampuni ya ULINZI ya GARDAWORLD
hao jamaa huwa wanaajiri watu wengi kuanzia kidato cha nne

Waulizia mshahara, salary yao ni 260,000 baada ya statutory deductions.

Mikoani wapo Mwanza Capripoint na Arusha Pia wapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…