Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,161
- 1,749
Ni kijana Mtanzania,mwenye umri wa miaka 33 diploma ya uhasibu na fedha (diploma in accounting and finance) nina uzoezi wa miaka mitano kama mhasibu katika AMCOS mojawapo nchini tangu mwaka 2016 mpaka sasa,mkataba wangu upo mbioni kumalizika.
Upendeleo wa ajira;
Eneo mkoani Mbeya,taasisi yoyote iwe ya kiserikali ama binafsi,ninamudu hatua zote za uandaaji wa taarifa za fedha na kupunguza kama sio kuondoa hoja zote za kiukaguzi kwani nikiwa kama mhasibu katika amcos niliopo nimefanikisha ushirika kupata hati safi mara 2.
Najivunia uzoefu nilionao,naombeni nafasi nifanye kazi nanyi.
Nitashukuru kwa mwenye uwezo nalo jambo hili akinisaidia.