MKuu ingia google utypu " Jobs in Qatar au UAE "Ni jinsi gani naweza kupata kazi nje ya Afrika? Mwongozo tafadhali
Uyo copnhagen na mpataje humMuone jamaa mmja anaitwa copenhagen dn jukwaa la habar na hoja.mchanganyikooo
kapotea gafla mtafute 2Uyo copnhagen na mpataje hum
Hahahahahahahahahahaha kuna watu majibu ya0 unabidi ucheke tu hahahahahahahahahahahahaTafuta wachawi wanaoruka na nyungo usiku wakupe lifti hadi nchi unayotaka, Ukifika huko utapata tuu...
Kwa kutafuta kazi nje ya Afrika.Ni jinsi gani naweza kupata kazi nje ya Afrika? Mwongozo tafadhali
Unaifaham jamii yote unayoiandikia hum Lakini?
Huwez jua kuna spy or any security agent!
Kama unajua kuogelea jiunge na sisi tumeshaanza mazoezi week ya pili hii tunataka kuzamia Meli ya Kichina inakuja tarehe 25 hapa Tz kuchukua pembe za ndovu zilizokuwa zimebaki then itaondoka hapa kupitia Ulaya, Marekani kabla ya kuzipeleka hizo pembe china. so Kama vipi jiunge nasi soldier. sisi tumeshaanza mazoezi namna ya kuogelewa kwa muda mrefu na hata kukaa bila kula. Huko kazi utapata tu bila hata shida.