Natafuta kazi Tanga

Natafuta kazi Tanga

ngomaxtz

Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
43
Reaction score
62
Mimi ni mgeni mji huu japo na nakaribia kufunga mwaka 1 hapa Tanga ni mwenyeji wa Mbeya , kutokana na changamoto nilizo zipata wakati nipo Mbeya ilinilazimu kuondoka bila kupenda kuja huku, Kuna jamaa yangu aliniunganisha na kazi ya kiwandani, kiwanda Cha cement, wakati naaza kazi niliona fresh nilikua Sina namna lakini kadiri ya mda unavyo kwenda naona kama napoteza muda tu hakuna akiba nayo weka hii sababu ya mshahara mdogo na kazi si ya mkataba,manyanyaso, nacho pata kinatumika chote na madeni juu nimekua mtumwa, hobi yangu sana sana ni kazi za kilimo napenda na ndoto yangu sikuzote kuja kulima, kinacho nikwamisha Sina connection yoyote ile ya wapi niende, ..... Wapi nitapata kazi ya kunikwamua apa nilipo msaada tutani. Nipo tayari kwenda popote, 0678921083
 
Utakuwa una umri wa miaka ya ishirini ndio maana huoni aibu kutafuta kazi. Kazi hazitafutwi mjuba, ulipo kuna kazi, akili ni nywele kila mtu anazo, huna za kichwani za siri unazo pambana ufanye kazi zako
 
Mimi ni mgeni mji huu japo na nakaribia kufunga mwaka 1 hapa Tanga ni mwenyeji wa Mbeya , kutokana na changamoto nilizo zipata wakati nipo Mbeya ilinilazimu kuondoka bila kupenda kuja huku, Kuna jamaa yangu aliniunganisha na kazi ya kiwandani, kiwanda Cha cement, wakati naaza kazi niliona fresh nilikua Sina namna lakini kadiri ya mda unavyo kwenda naona kama napoteza muda tu hakuna akiba nayo weka hii sababu ya mshahara mdogo na kazi si ya mkataba,manyanyaso, nacho pata kinatumika chote na madeni juu nimekua mtumwa, hobi yangu sana sana ni kazi za kilimo napenda na ndoto yangu sikuzote kuja kulima, kinacho nikwamisha Sina connection yoyote ile ya wapi niende, ..... Wapi nitapata kazi ya kunikwamua apa nilipo msaada tutani. Nipo tayari kwenda popote,
Kwani hapo kiwandani mnalipwa kiasi gani kwa siku au Kwa mwezi?. Hats hivyo kama nenda Kiwanda cha chokaa cha Amboni Kwa liemba, ukikomaa pale lazima utoboe tu hakuitajiki connection.
 
Tanga ni jiji limekaa kushoto sana. Hakuna hela huko utapoteza muda wako tu. Angalau nenda Zanzibar kapige boda boda utapata pesa nyingi sana
 
Kwani hapo kiwandani mnalipwa kiasi gani kwa siku au Kwa mwezi?. Hats hivyo kama nenda Kiwanda cha chokaa cha Amboni Kwa liemba, ukikomaa pale lazima utoboe tu hakuitajiki connection.
Apa wanatulipa 5500 Kwa siku sawa na 165000 Kwa mwezi mshahara haukutani gharama za maisha zipo juu sana
 
Apa wanatulipa 5500 Kwa siku sawa na 165000 Kwa mwezi mshahara haukutani gharama za maisha zipo juu sana
We bwana weee Tanga ngumu sanaa Tanga sio ya kutafuta hela mzee huwaoni wenyeji wakiamka tu haoo vijiweni na wanakula na wanashiba ogopa sana mji wa hivyo
 
Apa wanatulipa 5500 Kwa siku sawa na 165000 Kwa mwezi mshahara haukutani gharama za maisha zipo juu sana
Nenda sasa Kiwanda chokaa. Ulizia amboni Kwa liemba utafika bila shida pale zipo kazi za kuanzia hiyo elfu 5 mpaka elfu 15 ni wewe tu na nguvu zako utachagua kitengo kipi ukiwa pale. Kazi zilizopo pale ni nzito nzito tu na hakuna connection yoyote Ile kuingia pale.
 
Mkuu njo mbarali ulime mpnga hku.
Mtaji kiongozi kilimo Cha mbarali kinataka pesa apo ubaruku au kule kapunga nimefanya sana vibarua vya kupandikiza mpunga na kingine Kuna jambo liliniondoa Mbeya, ila mtaji ndio tatizo
 
Nenda sasa Kiwanda chokaa. Ulizia amboni Kwa liemba utafika bila shida pale zipo kazi za kuanzia hiyo elfu 5 mpaka elfu 15 ni wewe tu na nguvu zako utachagua kitengo kipi ukiwa pale. Kazi zilizopo pale ni nzito nzito tu na hakuna connection yoyote Ile kuingia pale.
Kiongozi ipo ivi kiukweli kazi za viwandani kutoboa kipengele hasa izi za vibarua muda wa kazi mwingi malipo kiduchu, sanasana natafuta kazi za mashambani kama mashamba ya katani ila Sina mtu wakunipa muongozo, hobi yangu ni kilimo,
 
Mimi ni mgeni mji huu japo na nakaribia kufunga mwaka 1 hapa Tanga ni mwenyeji wa Mbeya , kutokana na changamoto nilizo zipata wakati nipo Mbeya ilinilazimu kuondoka bila kupenda kuja huku, Kuna jamaa yangu aliniunganisha na kazi ya kiwandani, kiwanda Cha cement, wakati naaza kazi niliona fresh nilikua Sina namna lakini kadiri ya mda unavyo kwenda naona kama napoteza muda tu hakuna akiba nayo weka hii sababu ya mshahara mdogo na kazi si ya mkataba,manyanyaso, nacho pata kinatumika chote na madeni juu nimekua mtumwa, hobi yangu sana sana ni kazi za kilimo napenda na ndoto yangu sikuzote kuja kulima, kinacho nikwamisha Sina connection yoyote ile ya wapi niende, ..... Wapi nitapata kazi ya kunikwamua apa nilipo msaada tutani. Nipo tayari kwenda popote,
Sasa hebu tuliza akili kwanza na ufanye yafuatayo:
1.anza kutafuta kazi mbalimbali hapo ulipo,yaani vibarua vya kila aina,kubeba mizigo,kuwa kibarua kwenye kazi za ujenzi,yaani tafuta kila kona
1.ukipata basi kwenye kipato chako weka elfu moja kila siku
 
I feel kile unachipitia bro ila usikate tamaa tu muda wa kuvuka hayo umekaribia tu
 
Najiuliza sana hawa jamaa mda wote wapo na kanzu nyeupe pee asubuhi hadi usiku kupishana kwenda msikitini, wanatafuta pesa saa ngapi? hata kazi wanazo fanya uzioni Kwa macho ila maisha Yao safi.
Kabla hujatoa lawama hebu tafiti kwanza
 
Mtaji kiongozi kilimo Cha mbarali kinataka pesa apo ubaruku au kule kapunga nimefanya sana vibarua vya kupandikiza mpunga na kingine Kuna jambo liliniondoa Mbeya, ila mtaji ndio tatizo
mkuu nikweli mtaji ni tatizo ila bdo nafas ya kulima na kutoboa huko ip, kapunga na ubaluku hayo maeneo yanataka mtaji kwel kwel,.ila bdo hapa mbalal kunachmbo nyng sn unawez kulma mpnga kwa mtj mdg kbsa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom