Kwa sasa vibarua wamesimamishwa almalufu Kama STE
Ushaur Andika Barua za Maombi ya Kazi Peleka Temeke pale ktk ofisi za Hr ila itabid usubili mpaka Wenzako Wakiitwa
Au kama Kuwa na moyo wa ujasiri
Andika barua tofaut zen peleka ktk ofisi yeyote iliyo Karibu na Wew
STE tanesco anajulikana Kama Kibarua na hulipwa 465000 per month
Hakuna over time kazi Ni mpka jpili