tunasongaMbele
Member
- Apr 1, 2021
- 57
- 51
ubungoKwani Dar Unakaa mataa gani?
naishi ubungo mkuu ila kokote kule ikipatikana naweza fanya hima nifikeKwani Dar Unakaa mataa gani?
OK,nakuja PMnaishi ubungo mkuu ila kokote kule ikipatikana naweza fanya hima nifike
sawa mkuuOK,nakuja PM
sawaNjoo in-box tuzungumze mkuu.
sawa mkuuMkuu ukipata nistue na Mimi mzee namba yangu,hio 0653940927,bila Shaka umetoka cive
Nikipata sehemu nami nitakustua.sawa mkuu
sawaNikipata sehemu nami nitakustua.
We jamaa una husda mwamba Hana kazi Bado unamuonea wivu ( utani tu) inabid upambane kupata kazi ni bahat sana ukiipata iheshimuDah nakuonea huruma na wivu pia! Tupo pamoja Mungu atakuongoza utapata kazi
kasema anamwonea huruma alaf na wivu yawezekana anamwonea wivu kutokana na ujuzi aliyonayoWe jamaa una husda mwamba Hana kazi Bado unamuonea wivu ( utani tu) inabid upambane kupata kazi ni bahat sana ukiipata iheshimu
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
sio rahisi kama ulivyoandika inhekuwa ni rahisi weng waneshaenda kwenye ofisi za halmashauri.Mkuu ungeenda manispaa iliyopo karibu na ww, department za ict huwa zina changamoto za watu. Alfu pia saivi manispaa nyingi zinatumia mifumo ya ICT. Kajarubu utaweza pata nafasi
Mkuu ameomba kazi au sehemu ya kujitoleasio rahisi kama ulivyoandika inhekuwa ni rahisi weng waneshaenda kwenye ofisi za halmashauri.
Huko kumejaa ukiritimba, undugulization, tribalism yaan wengne wanaangaliaga mpaka ubini wa mwisho kama ndugu zetu wale wa "mwa mwa", kilimanjaro na wala ndizi wa kaitaba, sukumaland, usiombee wajae kwenye ofisi but atleast ata hao sukumaland huwa wana kahuruma kidogo ila hao wengne unaweza ukapeleka vyeti cv ya nguvu tena ni kujitolea tu lakn ikaishia kwa secretary.
So Muombe tu Mungu na jitahid sana kutembea kwenye makampun madogo ya private utajifunza sana na unaweza ukaingia kwenye mfumo kwa haraka sana pia usisahau kwa wakina KANJIBAI maana ndio wameteka soko letu la IT kama ndugu zetu wa civil walivyonaswa na Xin hu wa.
Nakutakia kila la heri but usisahau kumwomba sana MWENYEZI MUNGU.