Natafuta kazi, Public Relations and Marketing

Natafuta kazi, Public Relations and Marketing

ha ha ha ha ha ha ha!!! I'm just wonder to see how gentlemen speak shit louder than girls!!! some people are so melon pit.. Kama mtu huna cha kumshauri mwenzako piga kimyaa urijali sio kuchambana au kuongea mafumbo kama mtoto wa kike!! Hili jukwaa ni la wahanga wa ajira kama umetoboa basi usiwajibu kunya wenzako!! Sorry kama kuna mtu ka kwazika na hili ila habari ndio hio.
I always facing challenges Bravery!!!....😛ainkiller::smokin:
 
Kwa nini usitafute mbinu za kujiajira mkuu? andika andiko la mradi ufanye mpango utekeleze mkuu kazi ni shida sana kwa nchi yetu sasa hivi alafu wengi wanapeana na kufanya kiini macho cha usaili. hapa unaweza subiri sana bila mafanikiop dhahiri
 
Back
Top Bottom