Natafuta kazi, Public Relations and Marketing

umurumaithaa

Member
Joined
May 9, 2015
Posts
70
Reaction score
8
Habari zenu wana jf ,natumai ni wazima mm ni msichana umri 23 natafuta kazi nimemaliza sauti mwaka juzi (public relations and marketing)msaada wenu tafadhal ,mbarikiwe sana
 
Hata Wewe MSICHANA / BINTI Unalia Kutafuta Kazi? au Hufanani Na Akina Mboni? Angalia Tu Usije Ukawa TAMBARA La Deki Kwa Ma HRM!
 
mtoto wa mjomba, shangazi, n.k utamjua tu. kwasababu wewe umeungiwa na mjomba unahisi tabu ya ajira iko kwetu sisi wanaume tu. heshimu post za watu, mtu anapohitaji msaada kama huna cha kumsaidia bora umuache kuliko kumponda.
 
Mchango Wangu Ndiyo Kama Huo Niliompa ILA Kama Umekasirikia Sana Tafuta SUMU Ya Panya UISUKUTUE Ktk Hilo LIDOMO Lako Utupishe Hapa Duniani.....Swine!
 
mtoto wa mjomba, shangazi, n.k utamjua tu. kwasababu wewe umeungiwa na mjomba unahisi tabu ya ajira iko kwetu sisi wanaume tu. heshimu post za watu, mtu anapohitaji msaada kama huna cha kumsaidia bora umuache kuliko kumponda.

Mkuu achana nae hajui shida huyo ,mpaka ikimfika atajua
 
mtoto wa mjomba, shangazi, n.k utamjua tu. kwasababu wewe umeungiwa na mjomba unahisi tabu ya ajira iko kwetu sisi wanaume tu. heshimu post za watu, mtu anapohitaji msaada kama huna cha kumsaidia bora umuache kuliko kumponda.

Kweli mkuu.
 
Habari zenu wana jf ,natumai ni wazima mm ni msichana umri 23 natafuta kazi nimemaliza sauti mwaka juzi (public relations and marketing)msaada wenu tafadhal ,mbarikiwe sana

Diploma, degree au certificate
 
Habari zenu wana jf ,natumai ni wazima mm ni msichana umri 23 natafuta kazi nimemaliza sauti mwaka juzi (public relations and marketing)msaada wenu tafadhal ,mbarikiwe sana

SOMETHING WRONG.... Una miaka 23 na umemaliza degree mwaka juzi?...it means ulimaliza chuo na miaka 20?..
 
Back
Top Bottom