Habari wapendwa mimi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi nnje ya nchi kwa yoyote anayeweza kunisaidia no yangu ya simu ni 0625528367 ujuzi nilionao ni uzoefu wa kutengeneza aina zote za sausege mfano flesh sausages,vienna sausages,Dry sausages,burger kwa ufupi kazi zote za butcher(production zote za butcher) uzoefu wa miaka 4 na pia ni driver