Habarini wakuu, ni miaka sasa imeyoyoma bila kupata kibarua, nawaomba wenye nafasi/uwezo wa kunisaidia na mimi nipate chochote kitu...!
Nina shahada ya stadi za maendeleo kutoka chuo kikuu cha Dodoma, Nina uzoefu kiasi wa kujitolea kwenye mashirika makubwa na kufundisha vyuo vidogo.
Nawaomba mnisaidie nipate kibarua hapa njombe. .
Ni mwepesi wa kujifunza na kuyakabili mazingira ya kazi kwa haraka... Pamoja na kuelimika vizuri kwenye idara ya maendeleo pia
Nina ujuzi wa kutumia computer software's kama excel, PowerPoint na word... ..
Kwa atakayeguswa nitashukuru