Natafuta kazi nipo mkoa wa Njombe

Natafuta kazi nipo mkoa wa Njombe

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,960
Reaction score
2,352
Habarini wakuu, ni miaka sasa imeyoyoma bila kupata kibarua, nawaomba wenye nafasi/uwezo wa kunisaidia na mimi nipate chochote kitu...!

Nina shahada ya stadi za maendeleo kutoka chuo kikuu cha Dodoma, Nina uzoefu kiasi wa kujitolea kwenye mashirika makubwa na kufundisha vyuo vidogo.

Nawaomba mnisaidie nipate kibarua hapa njombe. .

Ni mwepesi wa kujifunza na kuyakabili mazingira ya kazi kwa haraka... Pamoja na kuelimika vizuri kwenye idara ya maendeleo pia
Nina ujuzi wa kutumia computer software's kama excel, PowerPoint na word... ..

Kwa atakayeguswa nitashukuru
 
Sasa kama kweli wewe ni msomi wa stadi za maendeleo mbona huoneshi hizo stadi za maendeleo kwenye maisha yako binafsi.
Au vyuoni mnafundishwa kuajiriwa tu ndio stadi za maendeleo??
Samahani lakini!!
 
Habarini wakuu, ni miaka sasa imeyoyoma bila kupata kibarua, nawaomba wenye nafasi/uwezo wa kunisaidia na mimi nipate chochote kitu...!

Nina shahada ya stadi za maendeleo kutoka chuo kikuu cha Dodoma, Nina uzoefu kiasi wa kujitolea kwenye mashirika makubwa na kufundisha vyuo vidogo.

Nawaomba mnisaidie nipate kibarua hapa njombe. .

Ni mwepesi wa kujifunza na kuyakabili mazingira ya kazi kwa haraka... Pamoja na kuelimika vizuri kwenye idara ya maendeleo pia
Nina ujuzi wa kutumia computer software's kama excel, PowerPoint na word... ..

Kwa atakayeguswa nitashukuru
wewe ni ke au me. Nipo njombe Na Kuna fursa kubwa Sana nimeiona Kama uko tayari nipm tuifanye kazi. Kwa kuwa unatafuta kazi means huna hela so hela yote ntatoa mimi
 
Asante mkuu...!
 
unasindwa kwenda hata hapo kibena, kwenye mashamba ya chai ujishikishe angalau unavyotafuta kazi ya kudumu, maana ajira za hapo haziitaji cheti ni afya yako na juhudi.
 
Asante mkuu.. Nimeshajaribu pia.
 
Asante mkuu.. Nimeshajaribu pia.
Ukishindwa hapo, nenda campus kubwa Mufindi Unilever Tea Company, watu wanapiga kazi kule, kwa mwenzi hadi laki tatu na nusu watu nachukua,

Unapewa nyumba bure, umeme bure, maji ure, ni wewe tuhhh, kama unaakiri ya kutoka kimaisha, maana wengine wakishaenda kule huwa wanazeekea huko huko. Ndo maana wazungu wanatuonaga mashitholeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom