Natafuta Kazi nina sifa hizi

regnaldshirima

regnaldshirima

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Messages
126
Likes
69
Points
45
regnaldshirima

regnaldshirima

Senior Member
Joined Aug 18, 2014
126 69 45
Naitwa Regnald Shirima nina umri wa miaka 24,ni mchapa kazi mwenye nidhamu,ninaejituma na mbunifu katika kazi.ni mwepesi kujifunza binafsi ama kwa kufuata maelekezo.

Mawasiliano:

+255758489123
regnaldshirima@gmail.com.
Moshi - Kilimanjaro

Elimu:
kidato cha nne
Basic & computer Maintenace Certificate.

Uzoefu:
Store Keeper,Shop Assistance in wholesales and retail
Kusimamia Biashara,
furniture Shops kuuza kuunganisha
kurekebisha na PC/simu and other electronic's (basic)
Assemble and Disamble Electroinics
Kusambaza Bidhaa.

Wanajamii natafuta kazi itayoendana na uwezo na uzoefu nilio nao,\ katika kufanya kazi kwa ufanisi na ubunifu.

- Sipendi kufanya kazi kwa mazoea,
- Kujali muda.
- Uaminifu.
- Ubunifu katika kazi.
- Kufanya kazi Moyo.
- Kutii,kujali na kuthamini kazi

Work History:
2011 - Airtel Freelancer and been Team leader)
2012 -13 - Retail Shop electronics (Mobile phones,funiture,Mobile) Moshi
2014 - 2016 - Bicmark Trading (retail & Wholesale,msimamizi,marketing,supply).Moshi
 
keisangora

keisangora

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
763
Likes
513
Points
180
keisangora

keisangora

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
763 513 180
Hapo kwenye uaminifu ndo umekosea mana nyie ni wapiga hela sana.
Hela kwa chasaka awe muaminifu jamani.ww ondoa hiyo kitu hapo mana watanzania wote tunawajua jaamni .sasa utatudanganya nn kweli.
 
Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
2,117
Likes
1,305
Points
280
Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
2,117 1,305 280
Jina lako la kwanza linaonekana una nyota ya pesa kama mwenyekiti wa I.P! Any way nimependa style yako ya uandishi,umekuwa muwazi kwa kiasi chake kuweka resume yako jamvini.
Naamini wengi watajifunza kupitia kwako.
Kila la heri mkuu.

Naitwa Regnald Shirima nina umri wa miaka 24,ni mchapa kazi mwenye nidhamu,ninaejituma na mbunifu katika kazi.ni mwepesi kujifunza binafsi ama kwa kufuata maelekezo.

Mawasiliano:

+255758489123
regnaldshirima@gmail.com.
Moshi - Kilimanjaro

Elimu:
kidato cha nne
Basic & computer Maintenace Certificate.

Uzoefu:
Store Keeper,Shop Assistance in wholesales and retail
Kusimamia Biashara,
furniture Shops kuuza kuunganisha
kurekebisha na PC/simu and other electronic's (basic)
Assemble and Disamble Electroinics
Kusambaza Bidhaa.

Wanajamii natafuta kazi itayoendana na uwezo na uzoefu nilio nao,\ katika kufanya kazi kwa ufanisi na ubunifu.

- Sipendi kufanya kazi kwa mazoea,
- Kujali muda.
- Uaminifu.
- Ubunifu katika kazi.
- Kufanya kazi Moyo.
- Kutii,kujali na kuthamini kazi

Work History:
2011 - Airtel Freelancer and been Team leader)
2012 -13 - Retail Shop electronics (Mobile phones,funiture,Mobile) Moshi
2014 - 2016 - Bicmark Trading (retail & Wholesale,msimamizi,marketing,supply).Moshi
 
regnaldshirima

regnaldshirima

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Messages
126
Likes
69
Points
45
regnaldshirima

regnaldshirima

Senior Member
Joined Aug 18, 2014
126 69 45
Hapo kwenye uaminifu ndo umekosea mana nyie ni wapiga hela sana.
Hela kwa chasaka awe muaminifu jamani.ww ondoa hiyo kitu hapo mana watanzania wote tunawajua jaamni .sasa utatudanganya nn kweli.
maybe you have your own reason to compare me with the unfaithful . though there is a saying says ' do not judge a person by thought . "
 
regnaldshirima

regnaldshirima

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Messages
126
Likes
69
Points
45
regnaldshirima

regnaldshirima

Senior Member
Joined Aug 18, 2014
126 69 45
Jina lako la kwanza linaonekana una nyota ya pesa kama mwenyekiti wa I.P! Any way nimependa style yako ya uandishi,umekuwa muwazi kwa kiasi chake kuweka resume yako jamvini.
Naamini wengi watajifunza kupitia kwako.
Kila la heri mkuu.
Nashukuru Mkuu,katika maisha fanya jambo moja basi na wengine wajifunze. kwa kua niliandika kwa mawazo yangu nashukuru imeoneka kua sahihi kwa kiasi fulani.
 
Forum statistics

Threads 1,238,339
Members 475,888
Posts 29,317,217