Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

lovely097

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
277
Reaction score
148
Salaam wanajf, Mimi ni Nina degree ya sheria pia nimeapitia mafunzo kwa vitendo law school of Tanzania, ila nilikamatwa masomo mawili ambayo nimeshayafanyia mtihani nikisubiri matokeo.
Naomba nafasi ya kujishikiza nikiwa nasubiri matokeo yangu.
Asanteni.
 
Sasa unakamatwa bado upo shule je ukijishikiza c utafungwa...!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom