Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

Nenda chadema wewe unachelewa kule ukitangaza tu mwanasheria hata interview hufanyiwi wanakuandalia kesi tu ya maandamano ukishinda ushakula maisha kudadadeki waulize wakina kibatala
 
mbona huku kuna matenda mengi ya zege 25000@day zinduka kijana kuna watu wanamaisha mazuri wamesahau hata vyeti walimpaga nani awashikilizie..be creative and initiative aibu inakujaga bhana ukishapata hela usomi mbwembwe tu...
Kaka 25,000/- saidia fundi inalipaaa 25,000×30=750,000/= ,ila huku kwetu saidia fundi zege 8000 wanapunja vijana
 
Kaka 25,000/- saidia fundi inalipaaa 25,000×30=750,000/= ,ila huku kwetu saidia fundi zege 8000 wanapunja vijana

haha hata hiyo inatosha mkuu hapo nauli ya kliniki,teneti,matunda&mbogamboga,kodi,nk vitajipanga automatically..kuna kamsemo kanasema "pigania angalau hicho kidogo wakati unasubiri kile kikubwa"..
 
Jamani nimemaliza chuo mwaka 2012 hadi sasa sijapata kazi nimemaliza degree ya kwanza ya sheria na nimeenda law school bahati mbaya matokeo ya law school hayajakaa vizuri...

Tatizo ni kua nina mchumba wangu nimeishi nae miaka miwili sasa bila kazi... Mwaka huu amepata uja uzito na anatarajia kujifungua muda si mrefu a mimi sina kazi... Jaman naombeni ushauri wenu nifanye nini maisha yamenipiga ngwara mwenzenu nimechanganyikiwa na rafiki zangu wananicheka sina hata wa kunishauri... Nimeona bora nikipimbie uku kwa wenzangu mnishauri

!
!
komaa na law skulz umalize halafu jaribu kujiajiri...kuna kesi mavi kibao ukizikomalia kwa konsaltansi utatoka tu na hutatamani kuajiriwa
 
Dah kaka huna kazi unampa na mtu mimba. Yani hilo shari kamili,nusu shari ilikuwa kukosa kazi.
Hapo huna namna zaidi ya kufanya kazi ya kukudharirisha.
 
Back
Top Bottom