juakal
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 587
- 125
Heshima kwenu wakuu,
Tatizo langu halina tofauti na la wengi hapa jukwaani. Binafsi mimi nimehitimu chuo miaka minne iliyopita, ambapo nilipata shahada ya Regional Development Planning. Kwa lengo la kuwa Planning Officer (Afsa Mipango).
Lakini mpaka dakika hii ninapoandika huu uzi sijawahi kufanikiwa kupata kazi japo hata ya kujitolea tu. Nisiwachoshe sana ndugu zangu, lengo langu ni kuomba msaada kwa yeyote atakayeguswa, uwe wa kimawazo au kazi yoyote halali nitashukuru sana.
NB: Nina uwezo mzuri wa kufanya kazi.
Asanteni.