Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

Biashara sio mchezo ndugu,kwamba utaanza tu hata na mtaji mdogo kisha unakuwa kama bakhresa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandiko wako ulivyo mbaya teyari ushakosa kazi!!!Haujasema umri wako maana **** waajiri siku hizi wanaangalia umri kama wanataka kuoa vile,kazi za customer care na receiption wanaangalia sura na shape km hips unazo au laah.

Kitu kingine haujasema umemaliza chuo gani ??mwaka gani???Maana kuna vyuo watu wanaenda kuchukua degree ukionyesha upaja tu kwa lecturer una 4.9 GPA .

Wewe haujui kama hapa JF kuna maboss wako wa siku za usoni??haujui kama HR wakampuni ya ndoto yako yupo pia JF humu???Edit hiyo post fasta jazia nyama ,weka na mawasiliano yako huone kama haujapigiwa kwa interview.

Nakushauri jifunze kuandika resume nzuri au mlipe mtu akuandikie ,jifunze pia kuji brand.
 
Nilianza kutafuta ajira tangu kipindi cha mstaafu Jakaya sikuwah pata but sijaacha kutafuta naweza pata awamu hii
Kila kitu kina mda wake km mpk ss hivi haujapata bora tu uuze hivyo vyeti uvute mpunga mzee uje tufanye biashara hata ya kutembeza maji ya kandoro nayo yanalipa ,wale watoto k/koo wanapiga mpk 50k kwa siku ila watu wanawachukulia poa.
 
Mkuu vitu vyote vya muhimu nimeviweka kwenye CV yangu boss wangu akihitaji nitamtumia
 
Mkuu vitu vyote vya muhimu nimeviweka kwenye CV yangu boss wangu akihitaji nitamtumia
Wengi wanapost km ww ,post kitu cha utofauti show off your skills ,jimwambafy mm sijawai post kwa mtandao kwmb natafuta tender au kazi ila nikipost haipitagi nusu saa napgiwa sim za kazi au tender yaani najimwambafy na show off skills zangu na strength zangu.

Ndio mtu pekee niliyewahi kuajiriwa direct umeneja wa kampuni miezi 4 baada ya kumaliza chuo pasipo kumjua yeyote wala connection na mwny kampuni .Ukipost vitu sharo sharo watu tunaanza kuwa na mashaka na degree yako umeipata chuo gani.??
 
Asante mkuu kwa ushauri wako nitajitahidi kuyafanyia kazi mapungufu uliyoniambia
 
Kila la kheri chief
 

Fuata ushauri huu dada!,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…