Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Asante, ila nahofia nikimaliza then nikose kuajiriwa itakuwa hasara bado maana muda huu Mara walimu hawaajiriwi tena Mara nini yaani hofu tupu.

...Kuna uzi umeanzishwa yakuwa wewe ni TAPELI mkubwa.Watu kama nyinyi Jehanamu inawahusu bila huruma yoyote.Umenikwaza sana.!
 
hayo yameshapita na tumeshayamaliza.aendelee tu na.majukumu yake.thanks
 
Kama hili la MCHUMIPESA limeletwa hapa jukwaani. Naomba strong woman atupe feedback na kule alipokuwa anaambiwa awe beautiful ndio apewe kazi...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeikimbia thread yako kule dada kakuanika live
 
wee jamaa tupe gpa yako,alafu masters ukiwa na 2.7 unafanya,alafu hukuv mtaani gpa sio dili,dili na vipi unafkiri,gpa sio issue mtaani,issue ni how creative u r to translate ur knowledge into practice

We jamaa, unataka GPA yangu ili iweje?
 
Hao waalimu nao mmewajaza mijini tu tena kwa kupewa vijisenti vidogo vidogo.
In real statistics kuna shule zina waalimu less than 5 huku wanafunzi wakiwa 500+.
Shule haziko mijini tu...

fact mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…