strong woman
Senior Member
- Jul 11, 2013
- 131
- 37
Habarini wanajf nahisi nitapata msaada msaada mkubwa maana waajiri wapo wengi hapa. Sasa wakubwa nimesoma bachelor of arts in development studies na cheti ninacho GPA ndogo sana ya 3.3 nisaidieni Tafadhali naombeni msaada kaka zangu na dada zangu. Nina ujuzi wa computer na fani yangu naiweza vizuri hakika sibabaishi. Asanteni.
Tatizo hujasema unataka msaada gani! Maana umejieleza wasifu wako tu
Mtumainie Mwenyezi Mungu Na Ipo Siku Milango Ya Baraka Itafunguka Ni Suala La Muda Tu Kijana / Binti Na Hakuna Ambaye Hatofanikiwa.
Hata wenye connection na shule naweza jufundisha masomo tote ya arts o level na A level
Ushauri wangu kwako:
Fanya Post Graduate Diploma in Education (PGDE), itapanua uwanja wako wa ajira hasa kwa fani ya ualimu. Wakati huo
huo, kwakuwa GPA yako ni ndogo, siku za baadaye itakusadia kufanya shahada ya Uzamili (Masters) iwapo utahitaji
kufanya hivyo....