Natafuta Kazi, nina Shahada ya Computer Science

Lason_daughter

New Member
Joined
Mar 21, 2021
Posts
1
Reaction score
7
Habari wapendwa JF users,

Mimi ni mwanamke miaka 31. Nina degree ya computer science na Nina experience ya Kazi kama system administrator, Customer care and Technical support.

Kwa mwenye connection ya Kazi yoyote yenye kuhitaji ujuzi wangu au hata yoyote adaptable Nina uhitaji Sana wa ajira.

Kwa yeyote anayehitaji mfanyakazi kwa maeneo hayo tajwa au lolote lenye mahusiano na hayo naomba connections.

Natanguliza shukrani.
 
Kw

Kwanini usijiajiri mkuu,
 
Back
Top Bottom