Natafuta kazi nina miaka 35

Natafuta kazi nina miaka 35

Huyu jamaa sijui kama ana kumbukumbu!! jana tu ulikuwa na umri wa miaka 25 sasa hivi una 35 !!!!
 
Habari wana jamii forum mimi ni mtu mzima mwenye familia. Naomba msaada wa kazi ya aina yoyote itakayo endana na umri wangu iwe ya kiwandani au sehem yoyote ile. nina uzoefu katika kazi ya kuuza duka.
Naishi dar ila kama kuna kazi mkoa wowote mi nipo tayari.
Naomba kwa mwenye nafasi hiyo ani PM.
Huyu jamaa kanichekesha mpka basi naona na kazi hataki Tena na uzi kaususa kabisa
 
Back
Top Bottom