Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
Habari wana jamii forum mimi ni mtu mzima mwenye familia. Naomba msaada wa kazi ya aina yoyote itakayo endana na umri wangu iwe ya kiwandani au sehem yoyote ile. nina uzoefu katika kazi ya kuuza duka.
Naishi dar ila kama kuna kazi mkoa wowote mi nipo tayari.
Naomba kwa mwenye nafasi hiyo ani PM.
Naishi dar ila kama kuna kazi mkoa wowote mi nipo tayari.
Naomba kwa mwenye nafasi hiyo ani PM.