Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 473
- 198
Duka la vyakula kama unga,mcheleDuka gani? Phamacy..?
Kila la heri lakini
Hapana mkuuKWANI WEWE SI MTOTO WA DOCTOR SHENI AU NIMEKUFANANISHA?
AhahahaKWANI WEWE SI MTOTO WA DOCTOR SHENI AU NIMEKUFANANISHA?
Umeshawahi kutangaza una tafuta mke nadhan ni jana sasa leo unafamilia tayari unatafuta kazi,jamani huyu msimpe duka kazi ya dukani inahiytaji uaminifu hyu jamaa sio muaminifu ni muongo,ulisema una miaka 25 sasa 35 hupaswi kupewa duka utalifilisi nakulaza wake za watu kwenye majani!Habari wana jamii forum mimi ni mtu mzima mwenye familia. Naomba msaada wa kazi ya aina yoyote itakayo endana na umri wangu iwe ya kiwandani au sehem yoyote ile. nina uzoefu katika kazi ya kuuza duka.
Naishi dar ila kama kuna kazi mkoa wowote mi nipo tayari.
Naomba kwa mwenye nafasi hiyo ani PM.
Na uzi unaishia hapa hapa (nadhani anahitaji kupigwa ban) yaani jana anatafuta mke alafu leo anatafuta kazi alafu miaka tofauti
Umemnasajee huyu harudi tena hahaaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa we post tu uongo tukuaibishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf never lying na jf kuna kitufe cha "post" hakuna cha "delete " hahahaa kuumbuka vepee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki kuumbuka asee Nina imani mtoa mada anatamani kungekua na sehemu ya kufutia maana sio kwa kuumbuka huku , siwapatii Picha walomfuata pm wakiona mungu kasikia kilio chao kawapatia mume wamtakaye[emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa we post tu uongo tukuaibishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana cjui anajiskiajeUmemnasajee huyu harudi tena hahaaha