Natafuta Kazi: Nina Masters ya Education Management and Administration

Natafuta Kazi: Nina Masters ya Education Management and Administration

Ndugu,

Mimi ni kijana wa Kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina masters ya Education Management and Admistration natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika hasa katika maswala ya utawala, rasilimali watu na mipango kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwenu.
Najisikia Kama kuandika kitu.....Binafsi before age of 40 nilijiwekea malengo ya kua na PHD
Mpk muda huu mm ni masters degree student
Kinacho Ni motivate kusoma Ni kutimiza ndoto ya kua na PHD ya kwanza katika ukoo wetu.

Usiwaze Sana kutegemea ajira na kulialia ajira ndugu yangu kichwa Chako Ni zaidi ya ajira....

Wewe Ni msomi Tena wa level ya masters degree be creative kuangalia fursa na kufikiria zaidi kujiajiri na kuajiri wengine....

Samahani kwa kuyasema haya binafsi hili tumeshuhuda na tumeyashuhudia haya only in afrika
Wasomi wa kuanzia bachelor degree, masters, PhD mpk maprofesa wetu na viongozi wa serikali
huwa Wana hubiri Sana vijana kujiajili ili Hali wao hawawezi kujiajiri even ku run a small shop...
Yaan muuza genge au machinga wa karume ana practice theory za biashara kuliko MTU MWENY masters ya finance
Watoto wangu sito walea kweny huu mfumo wa kutegemea kuajiriwa......

Tumechelewa Sana na tunaitaji kujikomboa Kuna muda tunaitaji kuziweka elimu zetu KANDO na kupambana na changamoto za maisha in a different way
Siwazi Tena ajira Sina Tena mawazo ya kuajiliwa napambana na maisha kwa kujiajiri japo ilinichukua MIAKA mingi kukubali Hali na kujitune maisha ya kujitafutia Kama kuku wa kienyeji yanawezekana...

Tuna maprofesa wengi Sanaaa huku mtaani wasio kua na makaratasi (Vyeti) na wamejiajiri kwa kazi ambazo watu wengine wanazidharau na maisha yanaendelea.....hao ndio nawaita maprofesa wa mitaani waliojiajiri katika sector za kilimo na biashara i.e mama ntilie ,machinga,bodaboda na wengine wengi walio ona fursa na kuitumia kujiajiri
 
Back
Top Bottom