Natafuta kazi, nina diploma ya ukutubi

Mr Mikazo

JF-Expert Member
May 26, 2016
1,586
794
Habari wana JamiiForums,

Natumai mu wazima.

Kichwa kinajieleza nna diploma ya ukutubi hivyo kwa yeyote atakaeona chanel ya ukutubi tujuzane.

Nawasilisha
 
Nashauri wale mnaotafuta kazi hapa muwe mnaeleza skills na knowledge mlizonazo au kazi gani ambazo mnaweza kuzifanya.

Itarahisisha waajiri au mtu wa kukuunganisha kujua una nini na unaweza kufanya nini.
 
ahsante kwa ushaur mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom