Natafuta kazi, Nina diploma ya Accounting

starj4

Senior Member
Jul 2, 2016
143
21
Mm nimuhitimu Wa diploma ya ACCOUNT Nina GPA ya 3.9 nahitaji kufanya kazi katika private sector or any organization nmeona nifanye kazi kwanza ndio niweze kujiendeleza badae naomba msaada kwa hilo najua tuko watu tofaut tofauti ndio maana nikaweka bango langu humu kwa anaefahamu, atakae sikia tangazo LA kaz,anaweza kunijulisha kwa mawasiliano E-mil issa.adinani@yahoo.com pia ushauri nahitaji asante
 
Mzee jana kawasha moto kwenye kichaka ,atakayeungua yeye hamjui.Kasema tusubiri viwanda 2020 ndiyo vitakavyobeba 40% ya waajiriwa. Viwanda vyenyewe ni hewa kazi ya kukimbizana na LISU & Lema tu.
Usijali tutafika tu, iwe kwa mguu au baiskeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom