Natafuta kazi nina diploma in procurement & materials supply

Rizinyo

Member
Aug 15, 2016
6
1
Habari ya asubhi wana jamii wenzangu,shida yangu kubwa ni kazi naombeni sana mwenye kuweza kunisaidia kwa hili anisaidie sana tafadhali.

Elimu yangu ni Diploma in Procurement and materials Supply napatikana Dar ila si kigezo cha kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi popote nipo teyari kufanya kazi popote mwenye utayari wa kunisaidia anaweza nijuza kupitia namba yangu ya simu 0753 484859.
 
unaweza kuendesha bodaboda nikuajiri uwe unaninunulia vitu vya dukani kwangu kariakoo na kwenda ku recharge Mpes and Tigopesa bank pale mlimani city?

Kama unaweza ni PM tuongee
 
Habari ya asubhi wana jamii wenzangu,shida yangu kubwa ni kazi naombeni sana mwenye kuweza kunisaidia kwa hili anisaidie sana tafadhali.

Elimu yangu ni Diploma in Procurement and materials Supply napatikana Dar ila si kigezo cha kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi popote nipo teyari kufanya kazi popote mwenye utayari wa kunisaidia anaweza nijuza Tafadhali.
edit kidogo uandike jinsia
 
Back
Top Bottom