Natafuta kazi nina degree ya mass communication

huduma_apps

Member
Feb 20, 2016
30
7
Napenda kuchukua nafasi hii kujieleza mimi nikijana jinsia ya kiume,elimu yangu ni chuo kikuu nina elimu ya degree course ya mass communication.

Nipo tayari hata kujitolea iwe kazi ya media yaani tv,tedio au magazetiau kazi itakayo nifaa kutokana na taaluma yangu.
 
Bila kujali uwezo wako, kwa idadi kubwa ya media houses, jaribu kuanza kuomba ufanye mazoezi kama intern. Itakupa uzoefu na kama hao watakaokubali ni wema si vibaya kama watakusaidia pesa ndogo za usafiri.

Hali ni ngumu lakini pia subira inahitajika.
 
ntashukuru
Bila kujali uwezo wako, kwa idadi kuibwa ya media houses, jaribu kuanza kuomba ufanye mazoezi kama intern. Itakupa uzoefu na kama hao watakaokubali ni wema si vibaya kama watakusaidia pesa ndogo za usafiri.

hata kupata intern imekuwa ngumu labda unipe connection uni link na media
 
kwani hizo kazi za radio ,TV na magazeti si ni kwa watu wa Journalism
.!!?
Wewe ni mass communicator unatakiwa uwatumie wao ili kufanikisha mass communication campaigns+advocacy.

Being a graduate with degree in mass communication doesn't necessarily meant utafanya kazi kwenye hizo media ila ni kwamba utafanya kazi na hizo media ili kufanikisha profession yako
 
napenda kuchukua nafasi hii mimi nijana jinsia ya kiume,elimu yangu ni chuo kikuu nina elimu ya degree course ya mass communication.nipo tayari hata kujitolea iwe kazi ya media yaani tv,tedio au magazeti.au kazi itakayo nifaa kutokana na taaluma yangu.
Sawa. Subiri utapata. Ipo siku
 
napenda kuchukua nafasi hii mimi nijana jinsia ya kiume,elimu yangu ni chuo kikuu nina elimu ya degree course ya mass communication.nipo tayari hata kujitolea iwe kazi ya media yaani tv,tedio au magazeti.au kazi itakayo nifaa kutokana na taaluma yangu.
Yaani umesoma mass com alafu uandishi tu wa paragraph moja umekushinda?
 
napenda kuchukua nafasi hii mimi nijana jinsia ya kiume,elimu yangu ni chuo kikuu nina elimu ya degree course ya mass communication.nipo tayari hata kujitolea iwe kazi ya media yaani tv,tedio au magazeti.au kazi itakayo nifaa kutokana na taaluma yangu.
Jaribu TBC huenda ikatimua waliotoa habari fake.
 
Badala ya kum -criticise, mpeni msaada. Mpe njia uliyopitia Wewe kupata Kazi naye ajaribu Labda anaweza kupata, tujenge mazoea ya kusaidia jaman jf..
 
Back
Top Bottom