Hii ni moja ya kauli ambazo ninazipinga sana. Kuna nyakati inabidi tuamini katika uwezo tulio nao ati. Have that courage omba wakikunyima leo basi kesho watakupa. Better die trying kuliko kufa umekaa best.
The more ukiwa unaomba kazi kwa shirika husika the more unakua una wa alert kuwa unahitaji ku demonstrate your skills kwa nafaai hiyo. Ipo siku utaitwa ati.
Mimi nadhan ni mmoja kati ya watu wanaaoongoza kwa kufanya application kwa kila tangazo naliliona. Hii imenisaidia kuimprove my communicatio skills kwemye upande wa writing skills. Na huwa naitwa sana kwa interview, na kika interview nikiitwa huwa siachi, nyingine huwa naattend tu ili nione uwezo wangu umefikia wapi?
Nikiona kazi ina maslah machache huwa naamua kuwakazia kwenye pesa ili tuwe tumeshindwana then maisha yanaendelea.
I encourage you to do that please, you will thank me later
Lakini pia epuka sana kazi za connection, huwa zinadumaza sana career ya mtu, coz unajipata hauna uhuru wa kuamua otherwise kwa sababu unakua na hofu ya kutomkwaza aliyekulengeshea hiyo nafasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.