Ariela
Member
- Feb 8, 2019
- 9
- 8
Habari zenu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili, Natafuta kazi, Nina degree ya community development.Nimewahi kufanya kwenye NGO kea mda wa miaka mitatu but mradi wetu uliisha.Ninafanya biashara ndogondogo kwa sasa Ila ninapenda kufanya kazi pia.Kama Kuna mtu anaconnection yoyote nitashukuru mkinisaidia.