Natafuta kazi nina certificate ya general agriculture | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi nina certificate ya general agriculture

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Dine, Apr 21, 2012.

 1. D

  Dine Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu wanajf mm nina certificate ya general agriculture hivyo basi nahitaji kupata kazi mahali popote hapa tz katika makampuni na mashirika yanayohusiana na kilimo na mifugo
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Si unakazi na unalipwa Pgss 10?!Acha sanifu bwana.
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  How do you know?Have you spied on him/stalked?
  Naanza kuiogopa jf
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Acheni kumkatisha tamaa mm ninalipwa huo mshahara c mbaya sana​  Nani anaekuspai yeye mwenyewe ndio alie andika hayo hapo juu. Ila Tazama gazeti la mwananchi la yrh 19/14/2012 kuna tangazo linalohusiana watua wa kilimo.
   
Loading...