Ndugu yangu kazi haitafutwi hivi, utasota mtaani miaka mingi kama hilo ndio bandiko lako la kuomba kazi.
Waliosoma degree kama wapo zaidi ya laki. Hivyo basi jaribu kutaja sifa ambazo zinaweza kukupa ww favor zaidi ya wenzako.
Kama vile
Umri wako na jinsia
Uzoefu wa kazi
Skills zako
Nk