Natafuta kazi nina Barchelor of Business administration in Accounting with Education

aminimganga

Member
Nov 4, 2017
21
14
Mimi ni mhitimu wa Degree ya Barchelor of Business administration in Accounting with Education natafuta kazi yoyote ile inayoendana na elimu yangu namba za simu 0714488026
 
Ndugu yangu kazi haitafutwi hivi, utasota mtaani miaka mingi kama hilo ndio bandiko lako la kuomba kazi.

Waliosoma degree kama wapo zaidi ya laki. Hivyo basi jaribu kutaja sifa ambazo zinaweza kukupa ww favor zaidi ya wenzako.

Kama vile
Umri wako na jinsia
Uzoefu wa kazi
Skills zako
Nk
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom