Natafuta kazi, nina Bachelor ya Public Administation

highness mm

New Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Wadau cna mda mref sn humu ndani ila nina ttz kubwa la ajira...nina bachelor ya public admn mwaka wa tatu ss cjapata kazi..naombeni mnisaidie wapendwa.kazi yyt nafanya sichagui kazi
 
Pole sana, mm nilipomaliza first degree niliingia straight kwenye shule ya kata. Hueez kosa kazi, wacha kulalama humu huku vijijini ukiomba kupiga chaki hukosi
 
Utumishi wa mahakama wametoa tena ajira, zinakuhusu sana zile.
 
Pole sana, mm nilipomaliza first degree niliingia straight kwenye shule ya kata. Hueez kosa kazi, wacha kulalama humu huku vijijini ukiomba kupiga chaki hukosi

Mkuu Jerry shule za kata hawana hela za kumlipa huyu jamaa. Acha utani unataka akafundishe kwa mshahara wa elfu 20!
 
Pole sana, mm nilipomaliza first degree niliingia straight kwenye shule ya kata. Hueez kosa kazi, wacha kulalama humu huku vijijini ukiomba kupiga chaki hukosi

Mkuu usharudi toka mamtoni Mara hii upo vijijini?
 
zile mbona tayari zina watu?labda asubiri mwaka keshokutwa watatangaza zingine.

Acha roho ya kichawi hiyo kukatisha wenzio tamaa roho yako mbaya haitokusaidia chochote.
 
Wadau cna mda mref sn humu ndani ila nina ttz kubwa la ajira...nina bachelor ya public admn mwaka wa tatu ss cjapata kazi..naombeni mnisaidie wapendwa.kazi yyt nafanya sichagui kazi

Hakikisha umenitafuta nikutonye sikio 0768577654
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom