Girls/Young women mna opportunity kubwa sana ya kujiajili legally na kutengeneza a lot of money sema tatizo ni kwamba wengi mnaishi maisha ya kukariri, yaan programmed life.
Kuna research report inasema "Girls are more intelligent than Boys, but what makes them seem to not be intelligent, dependant and unsuccessful is that they lack focus, boys can focus more than girls and thats why they can use well their intelligence.
Sasa sister nikushauri usihangaike sana kutafuta kazi, kuajiriwa isiwe first priority yako. Tafuta jinsi ya kujiajiri na utatoboa. Mfano kuna huyu mdada anaitwa kylie jenner (21 yrs old) ni mdg lkn anakimbizana na JAY Z kiutajiri (she is a millionaire) ila ukiangalia nn kimemfikisha hapo sio elimu(kwanza hakusoma sana) ila ni biashara tu ya vipodozi. Kylie alikua anatumia urembo wake, figure yake etc... kutangaza vipodozi vyake na vimetick world wide and now she is a billionaire.
Mfano mwngne ni huyu mdada wa mwanza ambae ana masters(studied in USA) lkn ni mpika makande. But biashara hio inamlipa sana tu.
SO sister angalia kitu gn unaweza kukifanya vzr zaidi thn turn it into a business. Girls mna chance nzuri sana kufanikiwa kwenye ujasiriamali sema wanaozigundua ni wachache. Mfano sijawahi kuona mdada mkaanga chipsi(Maybe wapo) lkn ushagajifikiria ikitokea kukawa na mchoma chipsi wa kike na wa kiume, nani atapata wateja wengi?????