kashmir waziri
New Member
- May 16, 2020
- 2
- 0
Habari zenu wana Jamvi,
Majina halisi naitwa Kashmir Waziri nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda mrefu pasipo mafanikio yoyote hii nikutokana na connection ambazo sina za watu wenye possibility ya kupata kazi.
Kama kuna kazi yoyote wana jamvi niko tayari kufanya bila kuangalia Elimu yangu, ninaishi Dar es salam/Kigamboni, kwa yeyote aliokuwa na connection za kazi please naomba msaada, namba zangu ni 0685094927.
Sent using Jamii Forums mobile app