Natafuta kazi, nimesoma Electronics and Telecom Engineering

Duu pole sana mkuu,endelea kutuma maombi bila kukata tamaa kozi yako nzuri sana.

Kozi ngumu or kozi nzuri acheni bana hebu fukuzeni wachina wahindi kwenye kazi hizi za technology
 

Mkuu hii naifanyia kazi haraka sana.
 

xiexie kwa hili na mimi nakupa xiexie ubarikiwe sana,great idea japo mimi si mtu wa industry hiyo lakini kuna kitu nimejifunza. Again xiexie!!
 
Last edited by a moderator:

mkuu xiexie,chukua like yangu ya maneno,hii kwangu ndio post nzuri sana kwa wiki hii mpaka sasa.
Ubarikiwe sana
 
Kipaombele cha taifa Science ila utapata kazi hiyo Electronics itakupa kazi wenzio wa Civil hapa wanashindwa kujenga hata karavati la barabara!
 
jobfinder hebu lete cv yako huku kwenye PM. Sana tujue unaweza kufanya nini hasa sekta binafsi wakati unasubiri kuajiriwa sijui wapi huko. Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Azam Tv kupitia kitengo cha Broadcasting&Transmission wanatafuta 4 engineers. Qualifications ni Must have engineering degree in electronics & communication, Must be proficient in Computer networks & Server system, Cisco Microsoft certifications will be added advantage, Media experience is preferred.Candidates watume Cv zao na academic certificates zao kwenye email recruitment@azam-media.com.
👆 sambaza kma una watu wenye sifa na uhitaji
 

Mkuu wewe ndo umesoma na umeelimika hao wengine ni makanjanja tu. Mkuu tatizo la vijana wengi ni "expectation"
 

Nakupongeza sana bana.
Hata mie ningependa nikufahamu nawe unifahamu.
Unayo akili nayoipenda.

Yani kuna vijana huwa nawaambiaga kua tuuze tangawizi na uji wa urezi,mihogo na viazi vya kuchemsha wananicheka.

Barikiwa sana na lazima Mungu atakufanya kuwa kichwa na mafanikio yatakufuata ulipo popote na endelea na roho hiyohiyo
 
Watanzania inabidi hizi ideology za kuajiriwa mziache, simply because hakuna kazi huko nje unless uko competitive sana... Mtu aliyesoma hadi akamaliza na ana kitu flani kichwani sioni kinachomzuia kusakua mtaji hata kwa kazi za chini akakusanya akafanya kitu kikubwa,Hamna kuanzia milioni mia, siku zote mtu anaanzia chini kwanza anakuja juu polepole, special case ni kama uwe na wazazi wenye mshiko mrefu lakini otherwise huna option zaidi ya kuanzia chini
 

Mkuu watanzania hatuamini mpaka tuone, sasa wewe fanya na uwe mfano kwao. Wakiona umefanikiwa watajifunza. Kitu cha muhimu ni kuwa usiangalie jamii itasemaje ikikuona unafanya kazi ambazo hata asiesoma anafanya. At the end of the day WATAKUHESHIMU na utawaajiri wakutimizie ndoto zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…