UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi Great Thinkers Leo Nimeamka Na [HASHTAG]#Stress[/HASHTAG] Sana Tubadilishane Mawazo Ni Kazi Gani Ambayo Nikiipata Itakuwa Ngumu Sana Kiasi Cha Wengine Kushindwa Lakini Nitapata Pesa Za Kukidhi Maisha Kama Nyumba,gari Na Miradi.Nawasilisha.