Natafuta kazi (music producer)

DMaty

Member
Jun 7, 2012
15
4
Mi ni mwanafunzi wa st johns university. Nina uwezo mkubwa sana wa kutumia music softwares. Natafuta kazi niweze kutumia kipaji. Naweza tuma beats zangu ukasikia kabla hatujaonana kwa yoyote anaeweza nipa ajira.
 
Unaweza kutumia software zipi,na je una uwezo wa kutumia external music instruments?
 
naweza kutumia FL, cubase, Vegas,... Ths time najifunza guitar and am doing well.
 
Unaweza kutumia software zipi,na je una uwezo wa kutumia external music instruments?

FL,Cubase, sonar,vegas, software nyingi naweza. Nko tayari kufanya kazi kulipwa kabisa though naweza but i stil need sum experience. This tym najifunza guitar n am doing well
 
FL,Cubase, sonar,vegas, software nyingi naweza. Nko tayari kufanya kazi kulipwa kabisa though naweza but i stil need sum experience. This tym najifunza guitar n am doing well
 
FL,Cubase, sonar,vegas, software nyingi naweza. Nko tayari kufanya bila kulipwa though naweza but i stil nid sum experienc.najifunza guitar
 
Mkuu unaweza kweli ww? Maana wengi huwa mnakuja hv hv alafu badae mnaishia mitini.
 
Mkuu unaweza kweli ww? Maana wengi huwa mnakuja hv hv alafu badae mnaishia mitini.

nakuhakikishia, i have bn doing music production since 2003, tatizo shule ilinifanya nisifanye serious on bigstudios. Kama kuna chance nipe deal ucheki
 
nipe link mi niuze, nachezea sana FL, CU BASE, ADOBE AUDITION, VEGAS PRO, ADOBE PREMIERE, NUENDO, MAGIX MUSIC MAKER, NA LOGIC

Kuna websites kibao zinanunua beats ila ziwe za ukweli...Kuna jamaa wa Soundclick soma HAPA au google neno "selling beats online" utapata majibu mengi....good luck!!!
 
Mi ni mwanafunzi wa st johns university. Nina uwezo mkubwa sana wa kutumia music softwares. Natafuta kazi niweze kutumia kipaji. Naweza tuma beats zangu ukasikia kabla hatujaonana kwa yoyote anaeweza nipa ajira.

'try to send those beatz through this Tanzanian88@yahoo.com then we'll knw wat to do son,fanya ivyo'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom