Ninauelewa na ujuzi wa kulima kitaalamu mazao yote kwasababu najua vyanzo vya taarifa na ujuzi huo,ni mwepesi wa ku adapti, hivyo hata kama sijawahi kufanya,ninaweza kujifunza na kufanya ndani ya muda mfupiUna ujuzi wa kilimo na ufugaji kwa upana upi