salumu isa
Member
- Mar 22, 2019
- 31
- 6
Natafuta kazi Mimi nifundi Chuma yaani STEEL FIXER 0759154798
Kaka nimekumbuka kitu,nenda kule kilosa Kuna wale waturuki wanaojenga reli ya mwendokasi(Yapi Merkezi) wanaajiri watu wengi sana.Natafuta kazi Mimi nifundi Chuma yaani STEEL FIXER 0759154798
Alleykum salaam warahamatullah taalah wabarakatuh! Inshallah sheikh! Mola na akujalie hitaji la moyo wako.